KOM L.T.D Group of Companies

Header Ads

  • Home
  • Home / Unlabelled / Ni kweli Wema Sepetu na Mama Ngololo Hawpatani?

    Ni kweli Wema Sepetu na Mama Ngololo Hawpatani?

    KEYS EAST AFRICA LTD (TANZANIA) 07:27
     Mama wa shemeji ngololo na Mrs ngololo eti zinaiva Mbaya

    Najua kuna stori nyingine huwa zinaandikwa alafu wahusika wakuu wanakuja kuziongelea baadae kwa kushangaa kilichoandikwa ambacho mara nyingi kinakua sio cha kweli.

    Stori ya Wema kutopatana na ‘mama mkwe’ yaani Mama mzazi wa Diamond ni miongoni mwa stori ambazo kuna uwezekano umeshawahi kukutana nazo kwenye Magazeti au baadhi ya mitandao, stori ambazo zilianza kuandikwa tu baada ya mastaa hawa kurudi mapenzini.

     Wema anasema ‘Watu wanasikia vitu vingi hata kwenye Magazeti watu wanaandika vitu vingi hususani Waandishi huwa wanatengeneza ili tu kupata habari lakini hatuwezi kusema kila kitu kinachotuhusu sisi kila mtu anajua….. hapana, mbona mimi na mama tunapatana tuuuu’

    ‘Mbona mami ake wangu mieeeee…. mwenyewe ananiitaga chizi langu, kwa hiyo tuko okey sana, nadhani watu wanamawazo hayo kwa sababu Mama ni mama yake Naseeb na mwisho wa siku Naseeb anakua sometimes hivi sometimes vile yeye kama mama lazima asimame nyuma ya mtoto wake ila mama yuko okey, mama ni mchizi wetu.. kamanda wetu mwenyeweu’
    Usikose habari zingine Tajiri yangu wa Ukweli


    Related Posts

    Post a Comment

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    STAY WITH US

    Facebook

    Popular Posts

    • Mwenge wa Uhuru watembelea Kahama Oil Mills
      Mwenge wa Uhuru watembelea Kahama Oil Mills
      Mkurungenzi wa makampuni ya KOM  Group of Companies. yenye  makampuni ya Royal supermarket, Royal Food Court ,Royal Phamacy, Kimpex Ltd n...
    • Dkt JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIVYOWASILI KENYA
      Dkt JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIVYOWASILI KENYA
      Hapa Rais wa watu na Rais wa kenya wakipeana mikono baada ya mkutano  na waandishi wa habari jijini Nairobi, ikumbukwe ni mwaka mmoja tok...
    • Unamzungumziaje Shilole na Picha Hizi za Utupu
      Unamzungumziaje Shilole na Picha Hizi za Utupu
      msanii kutoka kanda ya   kati Mwa Tanzania Igunga Tabora, Shishi baby ....Shilole mama wa watoto wawili, amesambaza picha zake hadi magazet...
    • Mjue ALIKIBA MAISHA NA MUZIKI
      Mjue ALIKIBA MAISHA NA MUZIKI
      THIS  IS ALI KIBA TAJIRI Yangu wa ukweli Alikiba Saleh Kiba (born November 26, 1986) is a Tanzanian recording artiste, songwriter, dancer,...
    • Mtoto Wa Jack Chain  - Hollywood Star Movie Kakamatwa na Mibange
      Mtoto Wa Jack Chain - Hollywood Star Movie Kakamatwa na Mibange
      sio kwetu hata mbele wapo,  Tajiri yangu wa ukweli hii inakuhusu , Jackie Chain ambaye aliwai kuwa balozi wa kampeni za kupinga matumizi ya...
    • Filamu mpya ya Hemed Seleiman PHD
      Filamu mpya ya Hemed Seleiman PHD
      MWIGIZAJI wa filamu Bongo Hemed Suleiman ‘Phd’ anatamba kuwa yeye ni kiraka katika masuala ya uigizaji kwani anamudu sehemu yoyote ...
    • Arsenal walivyoanza kugombea nafasi ya makundi champions league dhidi ya Besiktas
      Arsenal walivyoanza kugombea nafasi ya makundi champions league dhidi ya Besiktas
      Mechi za awali za michuano ya kombe la mabingwa wa ulaya za kugombea kuingia kwenye hatua za makundi ya michuano mikubwa zaidi kwa ngazi ya...
    • Messi, Neymar, Suarez watashindwa kushiriki kwenye La Liga ikiwa jambo hili la kisiasa litatokea…
      Messi, Neymar, Suarez watashindwa kushiriki kwenye La Liga ikiwa jambo hili la kisiasa litatokea…
      Siasa ni jambo ambalo limeshikilia hatma ya vitu vingi sana duniani ikiwemo mchezo wa soka ambao una ufuasi mkubwa ulimwenguni kote. ...
    • HUSSEI MACHOZI Afumaniwa Akizini Na mke Wa Mwanasiasa Nguli KENYA
      HUSSEI MACHOZI Afumaniwa Akizini Na mke Wa Mwanasiasa Nguli KENYA
      Lundo la Vyombo vya habari nchini Kenya Vimekariria vikiandiaka habari juu Ya  Hussein Machozi  mtanzania aliyekua akifanya vizuri chini ya...
    • Ni kweli Wema Sepetu na Mama Ngololo Hawpatani?
      Ni kweli Wema Sepetu na Mama Ngololo Hawpatani?
       Mama wa shemeji ngololo na Mrs ngololo eti zinaiva Mbaya Najua kuna stori nyingine huwa zinaandikwa alafu wahusika wakuu wanakuja kuzion...

    Arquivo do blog

    • ►  2017 (1)
      • ►  July (1)
    • ►  2016 (1)
      • ►  November (1)
    • ▼  2014 (21)
      • ►  August (4)
      • ▼  July (17)
        • Messi, Neymar, Suarez watashindwa kushiriki kwenye...
        • Gari La Msanii DUDE (kulwa Kikumbo Lashikiliwa kwa...
        • HUSSEI MACHOZI Afumaniwa Akizini Na mke Wa Mwanasi...
        • Alichokisema Lulu Baada ya Alikiba Kuachia Ngoma Y...
        • Ni kweli Wema Sepetu na Mama Ngololo Hawpatani?
        • Wachezaji Wa Real Madrid watakao Kuja Tanzania
        • R.O.M.A kuachia ngoma Mpya na Bob Juniour wa Shar...
        • Filamu ya Mpya Gumzo hii hapa
        • Vicky Kamata ajisalimisha kwa Yesu baada ya ahadi...
        • The Expendable 3 will be out this Augost 2014
        • Je Ni Bifu la Diamond na Ali Kiba ni La maendeleo?
        • Hemedi Phd Ajisahaulisha na nguo za Mtoto wa Kike
        • Baada ya Davido kuambiwa anajionyesha na mali zake...
        • Download Microsoft .NET Framework 4 4.0.30319 (x6...
        • Filamu mpya ya Hemed Seleiman PHD
        • Happy Birthday Tata Madiba Nelson Mandela
        • filamu za kitanzania zilizo wahi kufanya vizuri

    Random Posts

    Recent Posts

    Recent in Sports

    Created By Sora Templates | Distributed By Gooyaabi Templates