Gari La Msanii DUDE (kulwa Kikumbo Lashikiliwa kwa Ujambazi
Gari hilo la msanii Dude kama unavyoliona
Limeusishwa na ujambaji wa bajaji jijini Dar, Maeneo ya kijitonyanma July 21 mwaka huu, kwa mujibu wa chanzo wewe tajiri yangu ni kwamba baada ya vijana wawili kukutwa katika hiyo Gari ambao ni Seif Jafari na Longina Ramadhani waliotaka kuipora bajaji ya bwana suleiman khalfani ,
Muda mchache baada ya gari hilo kukamatwa Dude alifika polisi ili kutambua Gari lile, na Baada ya kulitambua Maelezo yake hayakujitosheleza na ndipo polisi wakaendelea kumshikiria mpaka kesho yake alipotoka kwa dhamana
Post a Comment