Mtoto Wa Jack Chain - Hollywood Star Movie Kakamatwa na Mibange
sio kwetu hata mbele wapo, Tajiri yangu wa ukweli hii inakuhusu , Jackie Chain ambaye aliwai kuwa balozi wa kampeni za kupinga matumizi ya dawa za kulevya amejikuta kwenye wakati mgumu na kumlazimu kuomba msamaha kwa kwa ajili yake na kwa niaba ya mwanae Jaycee Chain aliyekamtwa na madawa hayo huko Beijing China.
Kwenye website yake Jackie Chain ameandika, “Kutokana na swala la mwanangu Jaycee, nimekasilishwa na nimeshtushwa sana. Kama kioo cha jamii najiskia aibu sana, pia kama baba nimeumizwa sana. Mimi na Jaycee kwa pamoja tulazimika kuomba msamaha kwa jamii nzima”.
Jaycee Chain mtoto wa movie star Jackie Chain amekutwa na gram 100 za marijuana kwenye nyumba yake. Jaycee pia ni muigizaji kama baba yake.
STORI KAMILI
"First of all, I'd like to thank everyone for your care and concerns. The recent news about my son, Jaycee, is very shocking and the impact it has caused on society is heartbreaking," the movie star shared.
"When I first heard the news, I was absolutely enraged. As a public figure, I feel very ashamed; as his dad, I'm very sad and disappointed. But the person who feels heartbroken the most is his mom. I hope our younger generation will learn from Jaycee's mistake and stay far away from drug abuse."
Aliandika Jackie Usipitwe Tajiri yangu wa ukweli

Post a Comment