Dkt JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ALIVYOWASILI KENYA

Hapa Rais wa watu na Rais wa kenya wakipeana mikono baada ya mkutano  na waandishi wa habari jijini Nairobi, ikumbukwe ni mwaka mmoja toka Rais magufuli ashike madaraka mwezi novemba 2015,15 hii ni nchi ya tatu aliyotembelea Rais magufuli. na huko wamesaini mikataba mbali mbali.

No comments