Filamu hii inaitwa kwa kiswahili Malaika kutoka London , hii ni bonge ya picha iliyoshootiwa Tanzania na Uingereza , Mji wa Kahama Shinyanga Umehusika lakini pia Jiji la Dar es Salaam Limehusika bila kusahau mji mkuu wa uingereza yaani London soon ikiwa Sokoni ntakujulisha Tajiri yangu.
Post a Comment