HUSSEI MACHOZI Afumaniwa Akizini Na mke Wa Mwanasiasa Nguli KENYA

Lundo la Vyombo vya habari nchini Kenya Vimekariria vikiandiaka habari juu Ya  Hussein Machozi  mtanzania aliyekua akifanya vizuri chini ya Tetemesha records ya KID Boy Sandu George Kukamatwa na mke wa mwanasiasa maarufu  Mombasa Kenya
Gazeti moja la The Star la nchini kenya Limesema wawili hao walikua na uhusiano wa muda mrefu kupelekea kuweka mipango ya kununua nyumba ya kuishi pamoja , mheshimiwa huyo mkenya ni mtu wa safari hivyo basi kumpa mke wake upenyo wa  kufanya Uzinzi huo na Mnyiramba huyo kutoka tanzania,
 Habari zingine zinasema msanii huyo kapata kipigo cha Mbwa mwizi  na Kupewa masaa 24 kutoka nchini Kenya.

No comments