Hemedi Phd Ajisahaulisha na nguo za Mtoto wa Kike
Hakuna asiyemjua Braza kaka huyu kibongobongo, anaitwa Hemed Suleiman .... inasemekana kang'ang'ania nguo za mtoto wa kike ambae walikua wanashoot , alichokifanya hemedi ni kuweka nguo za mdada huyo anayejulikan kama Lady Naa dada yake Najma kwenye begi lake na baadaye kumwambia ijia nguo zako nimezikuta kwenye begi langu kitu ambacho sio kizuri kwa mawazo ya haraka haraka ..... navyosemekana sasa ni toka mwezi wa Pili 2014 mpaka leo hii bado Phd anajifanya yuko busy na nguo za mwanadafada huyo..

Post a Comment